WATAALAM WA AFYA WATAKIWA KUWA NA MIKAKATI YA PAMOJA , KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO

–  Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya Kwa Umma,Kilimanjaro. Rai imetolewa kwa Wataalam wa Afya  hapa nchini kuwa na mikakati ya pamoja itakayorahisisha kupunguza vifo vya mama na mtoto ,kwani katika takwimu  za kitaifa zinaonesha kuwa kulikuwa na vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi kwa mwaka 2020 vilikuwa 1,640 na mwaka 2021 vilikuwa 1,588.  Rai hiyo imetolewa